ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

Watu wanashangaza sana! K yake kugegedwa anagegedwa yeye, tafrani za ujauzito anazijua na hajaomba 'ntu' amsaidie, uchungu wa kujifungua anaujua, gharama za kulea anazijua na hajaomba msaada kwa yeyote yule lakini bado kuna watu watalalamika tu!

Yaani nimependa umemalizaaaaaaaaaa


Tabu kubwa pia ni WIVU na UVIVU

umewajaa wengi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama mungu kakupa kizazi zaa mpaka waishe wote hata kama wapo 100 kumbuka kuna watu wanatafuta hata mtoto mmoja na hawapati
 
Kwahiyo ukipata mimba baada ya hao wa3 utatoa?
Kwani njia za uzazi wa mpango hakuna?
BTW kwetu tupo watatu tu, my mama ni role model wangu katika suala la uzazi.
So nitatumia siri ya mama ya uzazi wa mpango.
Period
 
Wale wenye urembo wa kuokoteza ukiwaambia suala la kuzaa watakuambia oh no...wataharibu ujana
 
Ila huyu Mtoto kakosa kiki au ndo kila Mtoto na nyota yake
 
Zaa mama Tifah huenda ukatuzalia Neyo wasanii wetu wasihangaike kutafutiana Kolabo kwenye AFRIMMA huko America
 
Kama unauwezo wa kuwahudumia zaa hata kumi na moja...
 
Back
Top Bottom