ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

ZARI: Hakuna kitu ninachokipenda katika maisha yangu kama kuzaa

Safi sana. Kama ana uwezo wa kuzaa azae. Achana na warembo wa kwetu mabingwa wa kuzaa kamoja tena kwa operation.
 
Anapenda kuzaa au anapenda tendo la kusababisha kuzaa?
 
Huyu Zari tunaomba serikali iingilie kati kwa kweli washa toshaaa.

Yaani nimecheka Hasa mwenzenu kaona fursa ya kuzaa bila kuolewa mond akimuacha Nani atabeba mzigo wa watoto Sita wacha ajibane tandale[emoji12][emoji12][emoji12]
 
Yaani nimecheka Hasa mwenzenu kaona fursa ya kuzaa bila kuolewa mond akimuacha Nani atabeba mzigo wa watoto Sita wacha ajibane tandale[emoji12][emoji12][emoji12]
Hahaha
Ana zaa kwa akili anahakikisha hazai na makapuku.
Ila ki ukweli kazidsha sasa
 
Aombee hela zisiwe za masharti hao anaofyatua siku zikiyeyuka atatamani awameze.
 
Back
Top Bottom