Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 783
- 1,311
'Nipende ndo ujue kwa nini nipo single' ~ UnknownHuwa najiuliza mwanamke wa maana huyu mbona vidume hawakai, shida ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Nipende ndo ujue kwa nini nipo single' ~ UnknownHuwa najiuliza mwanamke wa maana huyu mbona vidume hawakai, shida ni nini?
Mungu amesikia haja za moyo wako na atafanya kadri ya mapenzi yake na furaha yako
Mwanamke anayejitambua, this is what I call sexy not kujiuza na kujidhalilisha kama mastaa uchwara wa kibongo.Haya basi mwanasoshaliti na mjasiriamali Zari Hassan ameweka wazi kwamba aliolewa mara moja katika maisha yake. Kulingana na Zari akiwa kwenye mahojiano na Bizz alisema kwamba ndoa yake ilikuwa kati yake na mumewe mwendazake Ivan Semwanga. Zari alifahamika sana baada ya kuwa mpenzi wake staa wa bongo Diamond Platnumz.
Wawili hao wamebarikiwa na watoto wawili ambao wanasaidiana kuwalea, kwani waliacha, huku Zari akiendelea na maisha yake. Pia kulingana na Zari hawezi kuacha kuishi maisha yake kwa sababu watu watamsema.
"Nimeolewa mara moja tu ... Wengine wako wamekwama maishani na bahati mbaya, huna hata mtu anayekuuliza kutoka kwa tarehe ya kahawa ... sitaacha kuishi maisha yangu kwa sababu atazungumza ... "- Zari mama wa mama hafurahii kabisa na kuhukumiwa," Alisema Zari.