Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

ruanganyi

Senior Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
115
Reaction score
34

Diamond akiwa kwenye pozi na mpenzi wake Zari

Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari' au ‘The Boss Lady' kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: "Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.

HABARI YA MJINI

Wikiendi iliyopita, vyombo vya habari na mitandao nchini Uganda ambako kuna makazi mengine ya Zari mbali na Afrika Kusini, kulipambwa na habari hizo baada ya mwanaume huyo aliyezaa na mwanamama huyo watoto watatu kuanika siri nzito juu ya ishu hiyo.

‘Ubuyu' huo ulidadavua kwamba, kwanza jamaa huyo mwenye utajiri wa kutupwa alianza kwa kuelezea namna alivyoshtuka aliposikia Zari ni mjamzito.

Alisema kwamba alishangaa kusikia Zari ni mjamzito wakati ana umri wa karibia miaka 40 na watoto watatu ambao amekuwa akiwapuuza na kuendelea kuzurura na mpenzi wake mpya, Diamond sehemu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

Chanzo: GPL
 
  • PHP:
    [CODE][/
    [*]
    [*]Uganda wanamwita. MUZINZI,,SIJUI KAMA ANAJUA MITOKOYOTE YUKO NA MUKE WA MUTU WALLAHI AKUMBUKE MLAMBA HULAMBWA SÎKUMOJA OOH NDUGU MTAKUWA MASHAHID
    [*]
    [/LIST]
    Kakayetu
 
Anaumwahuyuasubiri kuleta nepi pale muhimbili ft
 
Mbona huyo mwanamme mzima anakua na tabia za kike? kwanza yeye wameshaachana sasa maneno ya nini au Roho inamuuma sababu Nasibu kachukua mzigo? huyo jamaa sio mwanamme wakisawasawa mwanamme kamili hua hana mda wakuandika Pumba kama hizi,laitani angekua anajua thamani ya kukaa kimnya.....
 

Huyo jamaa yake bado anamtaka huyu mama ndio mama yanamtoka maneno mpaka anaharibu hadhi yake..........

Huyo jamaa ni Mwanaume kamili amemzalisha Zari watoto watatu na ana pesa kama njugu.

Tuwekee video au audio clip tusikie na kujionea wenyewe Billionare huyu na msomi kama ameongea maneno hayo.

Watu wajinga kama wewe ndio mnaoweza kulishwa ngonjera za Shigongo.
 
Imekuuma eeh mie kusema hivyo? SAMAHANI SANA,lakini umetumia nguvu nyingi na maneno yasio khusu ungenifahamisha kiungwana ningekuelewa zaidi.......Asubuhi njema...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…