Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Mwenye uwezo wa yote ni Mola haingiliwi, akiamua lolote mja yoyote hapangui! KAma ameandika zari na ndomo hakuna wakufuta kalamu yake na kama hajaandika hivyo pia.

Duh mistari ya Jahazi Taarab
 
Mbona siri yoyote iwe nyepesi au nzito iliyoanikwa hapo?
 
Mbona Halle berry amezaaa na miaka 47 kila mtu Ana bahati yake ya uzazi kuna wengine wana miaka 30 na hawashiki mimba hamna jipya hapa!
 
Kwa kuzingatia maana halisi ya neno kuzini diamond hazini but zari does.
 
Imekuuma eeh mie kusema hivyo? SAMAHANI SANA,lakini umetumia nguvu nyingi na maneno yasio khusu ungenifahamisha kiungwana ningekuelewa zaidi.......Asubuhi njema...........

Nimependa majibu yako, unaonyesha wazi umefunzwa, huna kujibishanaaa jawabu Ya safii????? Mungu akulinde Miaka 999..😘
 
Huyo jamaa si mumewe tena.

Na anayosema sasa anayasema kwa sababu ya inda tu hivyo ni ya kuyaangalia kwa jicho la tatu.

Kwangu mimi huyo jamaa ana zero credibility.

Hahahahahaaaaa..... Kweli kabisa... Ye angekaa kimya tu... Mbona yeye yupo engaged but nobody care?
 
Back
Top Bottom