Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Unarukaruka tu kama bata butini, ni wapi na ni lini Ivan aliongea hizi porojo zinazojaribu kulisha watu hapa JF?
Unaniuliza mimi kwani kuna sehemu nimesema huyo bwana aliongea hizo unazoziita porojo? I mean, we jamaa vipi wewe...? Unaweweseka kama kuku aliyekatwa kichwa.
Kuhusu elimu yangu mimi ni form four graduate niko tayari kujifunza kutoka kwako na kwa yeyote anayenizidi upeo.
Mambo ya elimu yako yananihusu nini mimi?