Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

----- ilo kwani j-lo kazaa akiwa na miaka 20 hatumii ubongo kufikir uyo jamaa kwa Mungu hakuna umri akiamua kaamua sara wa ibrahim ktk maandiko alizaa akiwa na miaka tisini eboo
 
Huu ni ujinga kuliko ujinga wenyewe kufananisha maandiko ya Kibiblia na ujinga wako.

Kwenye biblia wapo walioishi miaka 900. Je wewe waweza kuishi miaka hiyo.

Mahaba yako yasikufanye kuona verse za biblia ni kama za Juma nature. Umepotoka.
 
Huyo jamaa si mumewe tena.

Na anayosema sasa anayasema kwa sababu ya inda tu hivyo ni ya kuyaangalia kwa jicho la tatu.

Kwangu mimi huyo jamaa ana zero credibility.
Huyo jamaa wivu unamsumbua halafu yawezekana kabisa yote anayozungumza juu ya mwanamama huyo yamkini hayana ukweli. Aisee anatia huruma mno
 
Alizungumza wapi? Leta ushahidi wenye ithibati, mambo ya "yawezekana" kama mpiga ramli hapa hayahitajiki.

Kwa nini isiwe "yawezekana" Zari ndio amechanganyikiwa kuachwa na mume tajili na sasa anajifariji kwa potter wake?
 
Alizungumza wapi? Leta ushahidi wenye ithibati

Hata Kiswahili hukijui vizuri!

Eti "ushahidi wenye ithibati" LMAO.....

Hivi unajua maana ya ithibati wewe?

Acha kuiga iga watu wewe....siyo kila ukiona mtu katumia neno fulani basi ndo na wewe ulitumie hata kama hujui maana yake, ebo!!
 
Huu ni ujinga kuliko ujinga wenyewe kufananisha maandiko ya Kibiblia na ujinga wako.

Kwenye biblia wapo walioishi miaka 900. Je wewe waweza kuishi miaka hiyo.

Mahaba yako yasikufanye kuona verse za biblia ni kama za Juma nature. Umepotoka.

unataka kick hizo ngonjera zako peleka huko sio lazima ku quote kila mchangiaji au umekula tenda thibitisha uo ujinga kama nawe sio mjinga eboo
 
Zari kumbe ana 40,haya Nyani Ngabu ,mmewe kashataja umri wa mkewe kwamba ni 40.

cc: Matola

kwani alisema anamiaka 40?? au anaumri karibia miaka 40?? lakini tufanye kweli ana miaka 40 basi Mungu kamuumba kwa namna ya tofauti, 40 lakini vijana wa 20 hawathubutu kusimama nae, wengi wameshazeeka wakampita.
 
Last edited by a moderator:
sema wewe mimi nilidhani alitolewa kizazi kumbe umri ! Mshamba kweli as long as anaafya Mwanamke yeyote anauwezo wa Kubeba Mimba mpaka 40+

hivi JLO au mariah kelly walizaaga na miaka mingapi tena??? alafu mapacha sasa, embu wamuwache dada wa watu.
 
----- ilo kwani j-lo kazaa akiwa na miaka 20 hatumii ubongo kufikir uyo jamaa kwa Mungu hakuna umri akiamua kaamua sara wa ibrahim ktk maandiko alizaa akiwa na miaka tisini eboo

Lione kwanza
 
Hata Kiswahili hukijui vizuri!

Eti "ushahidi wenye ithibati" LMAO.....

Hivi unajua maana ya ithibati wewe?

Acha kuiga iga watu wewe....siyo kila ukiona mtu katumia neno fulani basi ndo na wewe ulitumie hata kama hujui maana yake, ebo!!
Sasa bwana jinga, mbona sioni kosa katika hiyo sentensi... Ithibati ni jambo linalodhihirisha ukweli wa dai kwa lugha nyingine ni ushahidi, mtu anaposema naomba ushahidi wenye ithibati, kwa lugha nyingine anaweza kusema naomba ushahidi unaodhihirisha ukweli wa dai, sasa bwana jinga kuna kosa gani hapo!?
 
Mwingine huyu asiyejua kanuni za kisarufi za lugha ya Kiswahili.

Kwa maneno yako mwenyewe umesema kuwa ithibati ni ushahidi.

Sasa kama ithibati ni ushahidi utaombaje "ushahidi wenye ithibati"?

Hata mantiki ndogondogo tu zinawashinda!!!!
 
Back
Top Bottom