Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Zari hawezi kuzaa na Diamond, mume aanika siri nzito

Huyo jamaa si mumewe tena.

Na anayosema sasa anayasema kwa sababu ya inda tu hivyo ni ya kuyaangalia kwa jicho la tatu.

Kwangu mimi huyo jamaa ana zero credibility.
Hakika huyu awezi akawa chanzo cha kuaminika!
 
Alizungumza wapi? Leta ushahidi wenye ithibati, mambo ya "yawezekana" kama mpiga ramli hapa hayahitajiki.

Kwa nini isiwe "yawezekana" Zari ndio amechanganyikiwa kuachwa na mume tajili na sasa anajifariji kwa potter wake?
Hahahahaha haya mkuu subiri uthibitisho utaletewa
 
Hata Kiswahili hukijui vizuri!

Eti "ushahidi wenye ithibati" LMAO.....

Hivi unajua maana ya ithibati wewe?

Acha kuiga iga watu wewe....siyo kila ukiona mtu katumia neno fulani basi ndo na wewe ulitumie hata kama hujui maana yake, ebo!!

Wewe ni tutusa tu huna hoja.
 
Sasa bwana jinga, mbona sioni kosa katika hiyo sentensi... Ithibati ni jambo linalodhihirisha ukweli wa dai kwa lugha nyingine ni ushahidi, mtu anaposema naomba ushahidi wenye ithibati, kwa lugha nyingine anaweza kusema naomba ushahidi unaodhihirisha ukweli wa dai, sasa bwana jinga kuna kosa gani hapo!?

Asikupotezee muda na huyu second Citizen mkimbizi wa uchumi.

Bichwa kubwa akili sifuri kujifanya mjuaji wakati hajawahi kuvumbuwa hata sindano. Falla tu.
 
Wewe ni tutusa tu huna hoja.

Onyesha ni kivipi sina hoja.

Asikupotezee muda na huyu second Citizen mkimbizi wa uchumi.

Eti second citizen!! Second citizen ndo nini? Na uchumi gani huo nilioukimbia?

Bichwa kubwa akili sifuri kujifanya mjuaji wakati hajawahi kuvumbuwa hata sindano. Falla tu.

"kuvumbuwa" ndo nini?
 
View attachment 219812
Diamond akiwa kwenye pozi na mpenzi wake Zari

Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ kunasa mimba yake, habari ya mjini huko Kampala, Uganda ni juu ya aliyekuwa mume wa mwanamama huyo, Ivan Ssemwanga kufunguka na kusema: “Naapa Zari hawezi kuzaa na Diamond.

HABARI YA MJINI

Wikiendi iliyopita, vyombo vya habari na mitandao nchini Uganda ambako kuna makazi mengine ya Zari mbali na Afrika Kusini, kulipambwa na habari hizo baada ya mwanaume huyo aliyezaa na mwanamama huyo watoto watatu kuanika siri nzito juu ya ishu hiyo.

‘Ubuyu’ huo ulidadavua kwamba, kwanza jamaa huyo mwenye utajiri wa kutupwa alianza kwa kuelezea namna alivyoshtuka aliposikia Zari ni mjamzito.

Alisema kwamba alishangaa kusikia Zari ni mjamzito wakati ana umri wa karibia miaka 40 na watoto watatu ambao amekuwa akiwapuuza na kuendelea kuzurura na mpenzi wake mpya, Diamond sehemu mbalimbali ndani na nje ya Bara la Afrika.

Chanzo: GPL

Huyo Diamond ni yule wa Mbagara?
 
Back
Top Bottom