Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

Anawapenda wapumbavu kama kina hamisa sababu ni wajinga
Ukiwa team zari unajifunza maisha na kuwa fighter na kufurahia uhai na maisha ukiwa team mange unajiandaa kuugua uchizi kuwa sadist na kuwa psychopath na kaburi la mapema linakuita kwa stress disorder.
 
Duuh umekandia mpaka basi
 
Wafuasi wa mange mazoba yanapelekeshwa tu
Jamani awe balozi mara ngapi?
Na ukishakuwa balozi, si ndio unaanza kuutumikia huo ubalozi kwa activity/event tofauti tofauti.
Ni sawa na waziri, anateuliwa once then kinachobaki ni kuutumikia uwaziri wake.
 
Hahahaha nmecheka ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…