Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Mwehu yule mange ana roho mbaya inamsumbua....na hii ndio asili ya mwafrika kumchukia aliyemzidiAtabaki oohoo alimtukana wema mara alimnyanyasa pugi,mara anaigiza maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwehu yule mange ana roho mbaya inamsumbua....na hii ndio asili ya mwafrika kumchukia aliyemzidiAtabaki oohoo alimtukana wema mara alimnyanyasa pugi,mara anaigiza maisha
Mwehu yule mange ana roho mbaya inamsumbua....na hii ndio asili ya mwafrika kumchukia aliyemzidi
Hivi ukiwa timu zari na timu mange unapata faida gani?
Ukiwa team zari unajifunza maisha na kuwa fighter na kufurahia uhai na maisha ukiwa team mange unajiandaa kuugua uchizi kuwa sadist na kuwa psychopath na kaburi la mapema linakuita kwa stress disorder.
Sidhani aisee Zari kamkazia diamond tofauti na kina Wema, in short Dai ni mchafuzi
Huo ndio ukweli. Angalia ma cebrity wako kina wema, hamisa, mange, sister fey, suzy etc. Hovyo kabisa. Kazi kuonyesha makalio na nywele za makwapa alafu mtu anataka kupewa kazi za matangazoWacha upimbi kwanza maliza shule
Ukiwa team zari unajifunza maisha na kuwa fighter na kufurahia uhai na maisha ukiwa team mange unajiandaa kuugua uchizi kuwa sadist na kuwa psychopath na kaburi la mapema linakuita kwa stress disorder.
Vibenten vingi tu, mtu ana 50yrs ila mambo yake loh!
Bora hata afanye kazi K yake ipumzike kwa muda.
Team zari mtakuwa bize na kumpokea mama yenu mtupe updates basi ya mikataba minono ili muendelee kuturusha roho team vijichoView attachment 1087135
Raynavero Mama Sabrina
Nasikia sio balozi tena ni charity work nataka kuchenga kulipa kodi huyu
Sasa yy mange hayo yanamhusu nini?Atabaki oohoo alimtukana wema mara alimnyanyasa pugi,mara anaigiza maisha
Sumbai habari za siku nyingi.Nimestuka saaana
Jamani awe balozi mara ngapi?Nasikia sio balozi tena ni charity work nataka kuchenga kulipa kodi huyu
Jamani awe balozi mara ngapi?
Na ukishakuwa balozi, si ndio unaanza kuutumikia huo ubalozi kwa activity/event tofauti tofauti.
Ni sawa na waziri, anateuliwa once then kinachobaki ni kuutumikia uwaziri wake.
Team zari mtakuwa bize na kumpokea mama yenu mtupe updates basi ya mikataba minono ili muendelee kuturusha roho team vijichoView attachment 1087135
Raynavero Mama Sabrina
Hahahaha nmecheka ahsanteJamani awe balozi mara ngapi?
Na ukishakuwa balozi, si ndio unaanza kuutumikia huo ubalozi kwa activity/event tofauti tofauti.
Ni sawa na waziri, anateuliwa once then kinachobaki ni kuutumikia uwaziri wake.