Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....



Kimavi ni balozi wa umbea na uchonganishi hapa Tanzania. Bahati mbaya ni kwamba wafuasi wake wengi ni watu wasiojitambua akili na jobless.
 
Mi nimevutiwa na sura yake hapo!!!

Halafu mi siabudu mtu yaani sio mfuasi wa mwanadamu yoyote
Huyu mtu mnampenda jamani.
Kila anachokifanya mnafahamu mna hamu ya kuonyesha mnavyompenda ila aibu kuonekana mmemuasi mange. Peleni sana
 
Poa poa zilete maana leo yupo live

#hatuabudumtubalitunatamanimafanikioyake

Alisaka anazoongea kusema ana domo kubwa.. ha ha haaaaaa.. labda Zari aanze kuongea akiwa amefunga mdomo.. 😃
 
Zari ana pesa yake, pengine binti zangu wapate shule kwake.
 
Katika vitu vigumu kushindana navyo ni umri!!! Maza kazeeka akubali tu
Asante.
Zari ana umri sawa na mama yangu 50yrs na guu the same, I salute you mama zari kubali tukupe heshima. Wachana na mambo ya kujiita am 38, Mara 25 .BTW, tanasha kashafika madale arudi bondeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…