Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania Jumamosi hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia ataelekea mliman City kwenye duka la babyshopping kwa ajili kuhamisha watu kununua bidhaa hizo .


Nicheke kimanyema mie , kama nawaona mastaa wa bongo wana yojiarishia, maana najua siku hiyo hapatosha mujini , dar nzima itahamia mliman city na mbagala siku hiyo . Dah zari anazidi ku shine tu ***** . Zari atabaki kuwa juu

Hivi Team mange niwaulize, boss wenu alishawahi kuwa balozi wa nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Kimavi ni balozi wa umbea na uchonganishi hapa Tanzania. Bahati mbaya ni kwamba wafuasi wake wengi ni watu wasiojitambua akili na jobless.
 
Mi nimevutiwa na sura yake hapo!!!

Halafu mi siabudu mtu yaani sio mfuasi wa mwanadamu yoyote
Huyu mtu mnampenda jamani.
Kila anachokifanya mnafahamu mna hamu ya kuonyesha mnavyompenda ila aibu kuonekana mmemuasi mange. Peleni sana
 
59357902_132531551175264_4487611040773479792_n.jpg
Mi nimevutiwa na sura yake hapo!!!

Halafu mi siabudu mtu yaani sio mfuasi wa mwanadamu yoyote
 
Zari ana pesa yake, pengine binti zangu wapate shule kwake.
 
Katika vitu vigumu kushindana navyo ni umri!!! Maza kazeeka akubali tu
Asante.
Zari ana umri sawa na mama yangu 50yrs na guu the same, I salute you mama zari kubali tukupe heshima. Wachana na mambo ya kujiita am 38, Mara 25 .BTW, tanasha kashafika madale arudi bondeni.
 
Back
Top Bottom