Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

Zari kutua Tanzania Jumamosi hii ....

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania Jumamosi hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia ataelekea mliman City kwenye duka la babyshopping kwa ajili kuhamisha watu kununua bidhaa hizo .

Nicheke kimanyema mie , kama nawaona mastaa wa bongo wana yojiarishia, maana najua siku hiyo hapatosha mujini , dar nzima itahamia mliman city na mbagala siku hiyo . Dah zari anazidi ku shine tu ***** . Zari atabaki kuwa juu

Hivi Team mange niwaulize, boss wenu alishawahi kuwa balozi wa nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia ataelekea mliman City kwenye duka la babyshopping kwa ajili kuhamisha watu kununua bidhaa hizo .

Hivi Team mange niwaulize, boss wenu alishawahi kuwa balozi wa nini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ila Zari katunyoosha wanawake Africa mashariki, the more watu wana mu hate sijui fake anatumia k ndo Mungu anamfungulia milango, mama watano, mbaya zaidi had wanaume wanamtolea povu
 
ngoja aje D asafishe RUNGU
 
Habari njema kwa Team zari ni hii , Mama Tee, aka zari the bosslady , mrs King D atatua nchini Tanzania jumamos hii(Tarehe 4) kama balozi wa diapers za softcare kutangaza bidhaa hizo ambapo pia ataelekea mliman City kwenye duka la babyshopping kwa ajili kuhamisha watu kununua bidhaa hizo .

Nicheke kimanyema mie , kama nawaona mastaa wa bongo wana yojiarishia, maana najua siku hiyo hapatosha mujini , dar nzima itahamia mliman city na mbagala siku hiyo . Dah zari anazidi ku shine tu ***** . Zari atabaki kuwa juu

Hivi Team mange niwaulize, boss wenu alishawahi kuwa balozi wa nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shobo zingine bhana
 
warumi nilisoma wanamcheka kuwa katupwa huku, Zari ataendelea kuwa juu. Dee lazima anajuta kumuongelea.. 😀😀😀

Tusubiri kuona nyumba ya watoto anaipangisha, kama za Ivan na zake.

Queenbae na Kingbae wamenunua nyumba.

Bonge la UPGRADE

Zari oyeeeeeeee

1556651299861.jpg

1556651311100.jpg

1556651331055.jpg

1556656253896.jpg

Video Jumamosi 04/05/2019 Zari akiwa Mbagala.
 
Huyu bibi anaelekea ana enjoy na kupenda sana gigy gigy kwichi kwichi!

Ova
 
Back
Top Bottom