Zari : Mimi sio msagaji

Zari : Mimi sio msagaji

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Super star kiwango anayetikisa East Africa kwa sasa , zarinah hassan aka bossy lady, amefunguka kuhusu scandal ya usagaji iliyomtafuna miezi michache iliyopita, akizungumza kupitia kipindi cha sporah show, mrembo huyo mwenye mvuto wa aina yake alifunguka kuhusu kashfa hyo, ambapo picha yake akiwa kwenye mahaba na mrembo mwenzie zilisambazwa mitandaoni na kuzua gumzo kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii

Mwenyewe alijitetea kuwa walikuwa kwenye starehe zao yeye pamoja rafiki zake, ambapo kila mtu alikuwa na mpenzi wake, so ilitokea tu wakajikuta wamekisi na rafiki yake huyo wa kike katika hali ya furaha kama marafiki wengine tu, na hakufikiria kuwa lile tukio lingekuwa ishu sana kwenye mitandao. aliendelea kutiririka kuwa yeye sio msagaji na anapenda wanaume kama wasichana wengine.
 

Attachments

  • 1432820148562.jpg
    1432820148562.jpg
    55.4 KB · Views: 2,562
Mmmh!! Tunaanza kukushtukia sasa ukaribu wako na madam ritha, maana nyie wanawake waremboo mnapenda sana kuchezeana nyie
 
Mmmh!! Tunaanza kukushtukia sasa ukaribu wako na madam ritha, maana nyie wanawake waremboo mnapenda sana kuchezeana nyie

Binamu mimi siwezi kuamini kama madame Ritha anaweza kufanya huo ushenzi bwana.
Labda bibie afanye na wengine.
 
Back
Top Bottom