Kama binadamu lazima atakua anaumia lakini wala hayamkoseshi usingizi manake wameshamkomaza na kumtia sugu!! Mtu keshaambiw hadi suala la kumrushia jini mama ake mzazi unadhani ataona jipya kwa kuambiwa hana uwezo wa kupiga mimba!!! Katika kumbukumbu zangu, Diamond aliwahi kuja juu kama moto wa kifuuu siku magazeti ya Shigongo yalipoandika kwamba mmoja wa watu wa Diamond anamtia mama ake Diamond!Ivi kwa nini watu wanahisi diamond hawezi kumpa mimba zari? Mwenyewe atakuwa anaumia sana atajiona kama sio mwanaume kamil maana kila mtu ana doubt kuhusu mimba ya zari