Zari : Mimi sio msagaji

Zari : Mimi sio msagaji

Huyu Zarina naye sidhani kama kuna kitu hashindwi kufanya.
Sio kwa jiti lile alokua anajitia mbele ya laptop.
 
Ahahah ila yule mbaba kiboko, ningekuwa na baba kama yule ningejiua

Ha ha ha!
Yani baba kama yule mwenzangu bora kuhama sayari kupisha aibu zake anazosutana na kina dougie masta.
Anaitwa a.k.a the firts to KNOW!
 
Haaaaaa le tamkoz aliniblok...
Anajiweza yule baba aiseee

Ivi kwa nini watu wanahisi diamond hawezi kumpa mimba zari? Mwenyewe atakuwa anaumia sana atajiona kama sio mwanaume kamil maana kila mtu ana doubt kuhusu mimba ya zari
 
Wewe ndio daimondi le bilionea???


Yaani nina wakati mgumu sana mwaka huu manake mwezi mzima baada ya kujifungua kwake, inabidi niwe very close na wewe kukuhudumia manake am sure lazima uugue!
 
Back
Top Bottom