Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Heheheheheh usijifanye haujuii watu tunajua vitu humu ndani mpaka tunajiogopaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee mbona leo kaliiiiii nshakua mod jomon
Tii privacy za watu mama uzuri wala hakuna nachoogopa kabisa mimi jf ni kama kisiki cha mpigo mtu anarusha mawe mi narusha bomu
Shoga angu haya mapyaa tuna ugomvi mi na wewe[emoji23][emoji23][emoji23] hebu niambie[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]halo halooo shost eenhee ina maana hio zabun ulishinda duh marinda yapo kweli
Kojoaa ntadekiiiiii!!!binamu unakumbukaga kipindi tunatukanwa na kina kokubanza?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]jamani jamani acha tuu!!Ahahhahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Kuelezea kawaida tu mbona zari alienda kuelezea hadi BBC,sikujua unanichukia kisa bwana yule mchukue kabisa tutakupongeza kubeba mzigo uleMaskin umepanic vibaya mno dah usilie basi kama siku ile hadi ukaanzisha uzi mreeefu wa kujieleza
Heheheheheh usijifanye haujuii watu tunajua vitu humu ndani mpaka tunajiogopaa
Mwambie komando kipensi amchukue Zari ili apate nuru aliyoipoteza Simba mnyama.Diamond anampenda sana Zari sana tu. Na haya yote anayofanya ni stress za kuachwa na Zari. Kwanza amekonda vby hana nuru kama alivyokuwa na Zari. Nasikia pia kawa Ahmada ile mbaya.
Binamu usiniacheeee hata kunipungia mkono tuu!!!!Kumbeee tenaaa makubwaaa Narumuk mimi Us ntaenda mbona na siku nikienda humu mtakojoaa Narumuki utalazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahaha we si unaona hadi hapa ya zari yanahami ya nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishiwa hojaKojoaa ntadekiiiiii!!!binamu unakumbukaga kipindi tunatukanwa na kina kokubanza?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]jamani jamani acha tuu!!
Sintah angekuwepo Leo hot km kipindi kile kesho tungenyewa kwa sintah tufeeeee!!!
Maana watu vinawapwira pwira rohonio
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwambie komando kipensi amchukue Zari ili apate nuru aliyoipoteza Simba mnyama.
Numbisaaa ndio hivyo mtu akimwaga mboga na ugali unamwaga aliesema malipo hapa hapa unadhan alikoseaAwesome na nnavyowatetemesha sasa hadi raha
Binam we ntakupigia simu na ntaushukuru uongozi wa jf pia,naenda kuukatikia mti wa kingoniiBinamu usiniacheeee hata kunipungia mkono tuu!!!!
Binamu unaenda kuosha wazeee!!!jamaniiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahhahaahahahhahahahahahahahahahaha we kaka umemalizaaaaMwambie komando kipensi amchukue Zari ili apate nuru aliyoipoteza Simba mnyama.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikua hujui shoga angu!!!ndo yalivyo hayooo!!!!hayaishi hapooo!!!Ahahaha we si unaona hadi hapa ya zari yanahami ya nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishiwa hoja
Wa kusemwa mimi mbona raha tu
Huyo kaka kamalizaa kila kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaaa "" hili itakuwa lakuoshea karakana ya treni za tazara
Kuelezea kawaida tu mbona zari alienda kuelezea hadi BBC,sikujua unanichukia kisa bwana yule mchukue kabisa tutakupongeza kubeba mzigo ule
Jamanii mahondawa wa smartHaha umelowa povu la nchi gani jamani lol! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc Smart911
View attachment 772607
Halafu kweli sijaona picha za msiba wake itakua kazikwa kama kukuUlikuwa wapii,tunaomba picha za msiba wa bilali tuone alizikwa kiislam au kipagan