Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee mbona leo kaliiiiii nshakua mod jomon
Heheheheheh usijifanye haujuii watu tunajua vitu humu ndani mpaka tunajiogopaa
 
Maskin umepanic vibaya mno dah usilie basi kama siku ile hadi ukaanzisha uzi mreeefu wa kujieleza
Tii privacy za watu mama uzuri wala hakuna nachoogopa kabisa mimi jf ni kama kisiki cha mpigo mtu anarusha mawe mi narusha bomu
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]halo halooo shost eenhee ina maana hio zabun ulishinda duh marinda yapo kweli
Shoga angu haya mapyaa tuna ugomvi mi na wewe[emoji23][emoji23][emoji23] hebu niambie
 
Ahahhahahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
Kojoaa ntadekiiiiii!!!binamu unakumbukaga kipindi tunatukanwa na kina kokubanza?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]jamani jamani acha tuu!!

Sintah angekuwepo Leo hot km kipindi kile kesho tungenyewa kwa sintah tufeeeee!!!

Maana watu vinawapwira pwira rohonio
 
Maskin umepanic vibaya mno dah usilie basi kama siku ile hadi ukaanzisha uzi mreeefu wa kujieleza
Kuelezea kawaida tu mbona zari alienda kuelezea hadi BBC,sikujua unanichukia kisa bwana yule mchukue kabisa tutakupongeza kubeba mzigo ule
 
Kumbeee tenaaa makubwaaa Narumuk mimi Us ntaenda mbona na siku nikienda humu mtakojoaa Narumuki utalazwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Binamu usiniacheeee hata kunipungia mkono tuu!!!!

Binamu unaenda kuosha wazeee!!!jamaniiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kojoaa ntadekiiiiii!!!binamu unakumbukaga kipindi tunatukanwa na kina kokubanza?!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]jamani jamani acha tuu!!

Sintah angekuwepo Leo hot km kipindi kile kesho tungenyewa kwa sintah tufeeeee!!!

Maana watu vinawapwira pwira rohonio
Ahahaha we si unaona hadi hapa ya zari yanahami ya nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishiwa hoja
Wa kusemwa mimi mbona raha tu
 
hahaaa naona povu alilolitoa..mpaka mimi huku nimelowana
Haha umelowa povu la nchi gani jamani lol! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Cc Smart911

tapatalk_1514378172668.jpeg
 
Awesome na nnavyowatetemesha sasa hadi raha
Numbisaaa ndio hivyo mtu akimwaga mboga na ugali unamwaga aliesema malipo hapa hapa unadhan alikosea
Halaf hakuna unaemtetemesha wewe usijioverate mpenzi
 
Binamu usiniacheeee hata kunipungia mkono tuu!!!!

Binamu unaenda kuosha wazeee!!!jamaniiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Binam we ntakupigia simu na ntaushukuru uongozi wa jf pia,naenda kuukatikia mti wa kingonii
 
Ahahaha we si unaona hadi hapa ya zari yanahami ya nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wameishiwa hoja
Wa kusemwa mimi mbona raha tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikua hujui shoga angu!!!ndo yalivyo hayooo!!!!hayaishi hapooo!!!

Leo ntajua binamu mpk chupi yako uliyovaa siku ileeee!! Na yote ya kwako ya humu!!

Binamu ukiachwa achika....Panick at ur own risk!!!!!

Poleeee
 
Back
Top Bottom