Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Nimemaliza kazi lowlife muwe na siku njema mniote usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wajue kutofautisha kati ya kuzidisha na kujumlisha ,wengine makaa ya mawe hatuzimiki haraka
Tunazoa yetu tena wasipoangalia watazoa na yetu
Wajue pia tofauti kati ya Kunya na kujamba pia!
Usingizi na kifoo

Na watazoa kweli mavi yetu

Sisi ni maji usipotunywa utatuogaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]

Utake usitake utakujaaa
 
Nimemaliza kazi lowlife muwe na siku njema mniote usiku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Yangu huipendii binam au kwa vile mme wangu haingii humu sana,binam ntakumwagia mapovu sasa hivi
Sishindwi kukuchamba halaf baadae tunapatana unaniudhigiiii ngoja nikuwache
Mahondaw alisemwaa mpaka basi,smart wake akafatwa juu kupewa maneno wanaadam pendo la kweli halivunjwi kabisa ,

Mimi sasa binam yako password ya shemejio nnayo nimeblock hakuna mtu kumtumia pm ,na siku mtu akijitumisha ikaja bahati mbaya namjibu mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakojooooooo kwa rahaa
 
Wajue pia tofauti kati ya Kunya na kujamba pia!
Usingizi na kifoo

Na watazoa kweli mavi yetu

Sisi ni maji usipotunywa utatuogaaaaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]

Utake usitake utakujaaa
Na washukuru tumempumzika tu
Siku hizi
Maji marefu hapa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu hujui kiasi gani am happy for u!

Couple zenye nguvu nazozijua ya kwako,nifah na mahonda pia!!

Nisipoipenda yako ntaipenda ya nani tenaa??

Bibi hongera kila la herii!!

Mimi na wewe hatuchambani tunapeana makavu live!!
 
Haya binam twende zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…