Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Endelea hivyo hvyo mdogo wangu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] uliongea siku moja tuu!nilichokaaa nkasema Leo !!!

But wish all the best may Almighty grant u more happiness and joy!

Couple yenu naipenda japo kimya kimya[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji23]
Hahahahaha asante mwaya!! niliongeaje lol!! Humu na Smart911 tushatukanwa sana na mwanzo nilitaka kukata tamaa kabisa smart akanikokota kanizoa mahondaw wangu things are not like that mamiii kaza moyo..silence is the best answer mahondaw hata wakutukane wasemeje just ignore them.. Thanks God I managed
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee leo nimeumiza watu mpaka wanaingiza yanga na simba

Outa here,next time ntarudi mie ndo numby bana
 
Back
Top Bottom