Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Ni ujuha kudhani kuwa mondi amekonda kwaajili ya Zari..Mondi ni mwembamba in nature na kilichomfanya aonekane mnene ni mazoe ya gym ambayo ameyaacha kwa sababu anazozijua mwenyewe kabla hata hajaachana na Zari.
Sawa tumekusikia ila hata mng'aro hana amepaukaaa kafifia. Hiyo pia ni sababu ya Gym? na ulevi juu anapiga masanga ilre mbaya. Chezeya uwa jeusii.
 
Kifesi kafukuzwa kisha kumfuatilia diamond kuhusu zari. [emoji23] [emoji102] [emoji125] [emoji100]
 
Zari oyeeee, kiboko ya masista duu wa Tanzania na africa mashariki
 
Wakati huo Zari ana mvumilia umalaya wake wanakuwa wana sex kavukavu au kwa kutumia Condoms??? Maana na hii risk ya magonjwa hebu muacheni Zari alee wanae wa 5 kwa Amani. Au mnataka Afe wanae wateseke???

Exactly. You have said a very important point. Hivi kweli watu walitegemea aendelee kuwa Nasibu huku amejua kabisa Nasibu havai mpira huko anako lala na akina Hamisa? Zari ana watoto 5 kesho kesho kutwa aletewe magonjwa wanae watatu wabaki yatima? Embu muacheni dada wa watu anajielewa sana. Huyo Hamisa anaona ameshiiinda, kwenda kulala na mwanaume na unajua fika analala na mwanamke wake na humwambii avae mpira. Aisee Ukimwi ukianza kuwachota nisisikie eti "Mapenzi ya Mungu". Hakuna cha Mapenzi ya Mungu kama unalala na mwanaume aliye na mwanamke mwingine bila kutumia kinga. Hayo ni Mapenzi yako. Zari akae mbali mnooooooo na Nasibu kama anataka aje aone wajukuu zake akiwa na afya njema.
 
Zari oyeeee, kiboko ya masista duu wa Tanzania na africa mashariki
Na katiiii,kusini,magharibi mpk baharini!!

Hivi binamu, Africa kwa upande wa mashariki Si ndo kuna bahari,?.au
 
Wa idiamini wana roho ya paka ingekua rahisi kurudia tapishi ivandon angerudiwa acha movie iendelee
 
Word! You have said it all.
 
Wakati huo Zari ana mvumilia umalaya wake wanakuwa wana sex kavukavu au kwa kutumia Condoms??? Maana na hii risk ya magonjwa hebu muacheni Zari alee wanae wa 5 kwa Amani. Au mnataka Afe wanae wateseke???
Wakati huo walipanga kuwazaa Tiffah na Nillan
 
Wakati huo Zari ana mvumilia umalaya wake wanakuwa wana sex kavukavu au kwa kutumia Condoms??? Maana na hii risk ya magonjwa hebu muacheni Zari alee wanae wa 5 kwa Amani. Au mnataka Afe wanae wateseke???
Na kweli aisee mwanzo alilia watoto. Haya watoto hao kawapa anajifanya kitom..i
ii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…