Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Mauno shost mauno kama yale unayompaga G [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chakarika mwanawane nawe upangishiwe mjumba kama wa SA
Shogaaa mauno nnayompa G soon najengewa mjengo mama raha ya mwanamke kuhongwaaa,wala sipangishiwi najengewea hebu ninyamaze mie sijataka kuishi maisha ya ukinunua majagi unaoiga picha
 
Magazeti yanashuka tu chezea numby kama dokta wa tezi dume unadokoa wanatikia yeeeee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We zuleha nini[emoji23][emoji23][emoji23] nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa
 
Nyamaza tu anonymous mwenzangu,kutype virahisi sana kuliko vitendo halafu nawe wale wale bila mwanaume hauna maendeleo yako(kujiuza raha). Nashangaa mnamchukia zari wakati mnafata matendo yake kimya kimya[emoji13] [emoji13] [emoji13] maisha bila unafiki hayaendi jaman daaah
Shogaaa mauno nnayompa G soon najengewa mjengo mama raha ya mwanamke kuhongwaaa,wala sipangishiwi najengewea hebu ninyamaze mie sijataka kuishi maisha ya ukinunua majagi unaoiga picha
 
Ndio ustusimange eti low life,haya nawe vipi unamiliki au umepangiwa nyumba kama zari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna anaefata matendo ya zari zari kayakuta maisha yapo hivyo hata biblia iliandika
 
Nakazia[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukute housegirl wake siwezi jua unawalea kina tifa nakojooooa Numbisa usinipe ban huu utani tu
 
Hebu tuambie huo ubalozi zari kalipwa milion 100 kama chioma wa Davido usipaniki lakin
 
Nilikuja fasts nikadhani alive andika ni mwanamke,kumbe mwanaume. Inaweza usiione thamani ya mwanamke,lakini kuna atakae kuja na kumpandisha ukabaki unalia. Mwanamke ni kama UA,huvutia nyuki wengi na wadudu wengine kwa Rangi na harufu yake. Kazi kwako
 
Mkuu lazma kuna matatizo mengine mpka kufikia hapo,zari nae alikua anazaa bila ndoa kma kina mobeto wasio na akili...ukimuangalia zari kwenye picha utamuona mstaarabu ila kichwani ni empty pumkin tu...umri wa zari sio wa kutuma clip mtandaoni akiwa kwenye romance na chibu.
Hapo ndio nlimuona nae walewale tofauti yke anajua kutafuta pesa
 
Shangaa maajabu haya nyani anawacheka wenzie makalio mekundu,,zari hana usafi wowote tena kuna kipindi alikuwa anadanga na kina huda
Eti wanawaona kina wema na misa malaya wakati zari malaya wa kitaifa
 
Bora wewe friend umeliona hiloo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!!lloooh!!Na yeye hana akili pia kama kina Hamisa sema yeye kawazidi ujanja
 
Shangaa maajabu haya nyani anawacheka wenzie makalio mekundu,,zari hana usafi wowote tena kuna kipindi alikuwa anadanga na kina huda
Eti wanawaona kina wema na misa malaya wakati zari malaya wa kitaifa
Malaya kama wengine tuu!umeona eeehhh!!!tena yeye five kids baba tofauti!
 
Bila hata kuonja ndoa,ndio tujilinganishe nae kweli mtu ana team ya basket ball na sub moja iko kule kijijin imeolewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa ataishia kucheza kwaito tuu!!!za wenziwee yeye na team Yakeee alee!
Binamu kutufananisha na mama etu mkubwa ni dhambi mnooo!!utapata radhi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoa ataishia kucheza kwaito tuu!!!za wenziwee yeye na team Yakeee alee!
Binamu kutufananisha na mama etu mkubwa ni dhambi mnooo!!utapata radhi
Dhambi kubwa kabisa zari ni mama yetu mkubwa

Siku ile babu tale anasema bado wiki moja tu inafatia ndoa ya zari yaan walikuwa wanamg'ong'a eti aanajifanya hajui kiswahili anajifanya kama hasikii ,niliapa zari akiolewa na mond najitoa jf
Sio umbea tu hadi uchawi tunaweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Star kaupatia bongo kwingine wala hawana habari na zari hata followers kawapata kisa daimond atushukuru watanzaniaa,sasa hivi akija hakuna anaejuaa wala
sijazungumzia kaupatia wapi... nimesema ni star

Hayo ya kuupatia wapi nakuachia wewe
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeee mbona mmepanic hivyo mashost hee si mlikua mnaona zari saizi yenu saiv mshampandisha hadi mpaka kwa mnaijeria woyoooooooooooooooo sema kwa sauti kuu Z.A.R.I
Hebu tuambie huo ubalozi zari kalipwa milion 100 kama chioma wa Davido usipaniki lakin
 
Sitoagi ban mie ntakosa wa kumshushua kama shostio aliyebadili ID [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimeimiss ile lips jomon.

Hapo umemtaja tiffa daah nahisi unakereka mno pale unapokumbuka mama ake tiffa ni zari,general herself
Ukute housegirl wake siwezi jua unawalea kina tifa nakojooooa Numbisa usinipe ban huu utani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…