Diamond nikijana malaya alotokea kumpenda mno zary.
Niivi Alishindwa kujiongoza umalaya wake ,ila nakuhakikishia zary alikua na impact kubwa sana kwa Diamond nandio sababu Diamond baada ya kuachana na Zary amejitahidi sana kujifanya hajapoteza kitu lkn ukweli nikwamba kapoteza na hilo analijua mno.
Alafu ujue Zary , alikua mwanamke pure sana kwajamaa, nimwanamke pekee alompa diamond msukumo wakufika hapa alipo. Tofauti namidemu yake ya zaman ilokua inamliza mliza ovyoovyo.lkn toka alipokua na "Nyota ya asubuh" (zary) mambo yakanyooka kisawasawa.
Wacha nikuambie kitu, Zary nimwanamke mzuri namakin kiasi kwamba wanawake wenzake wanamuonea wivu +zary nimwanamke (celeb) mzuri kiasi kwamba kila mwanamme atataman kua naye ..
Ujue sisi wanaume ,kuna mwanamke ukimuona unavaa mawan, ila kuna mwanamke akikupita mbele yako ,moyon unajisemea "ndoa iyoOooooo inapita"
Ningepata nafasi ya kumshaur diamond,ningemwambia Funga ndoa na Zarieth.
Kwanza jamaa kaachana naye lkn kamoyo kanamuuma sana .