Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Umesahau umeanza kuniquote na povu juuu hahahaha,ndo hivyo ukinikurupukia nakufurumusha tu za uso bila chenga. Mteja wangu kwa zari kama umebakiza povu endelea kumwaga nikasafishie choon bana. Safi kabisa usisahau ni balozi wa pampaz piaaaa
Nimejileta au umejileta wewe kwanii tulikuita Numbi jamani kuwa mpole kusema tutasema tu
Yes balozi wa leba zarinaa
 
We unanipenda tu unanimiss wapi
Maisha mafupi wewe unadhani nikifa numbisa ntampatia wapi
Tuliroga ukatoka kwa nyani ngabu bado tunasololea uje kwetu nasi tuonje utamu! Kabla ya kuuonja tunashangaa unaanzisha ugomvi na akina Numbisa na warumi hii ni hatari unaweza kudead kabla hatujafaidi utamu wako! Subiri tuuonje ndipo uendelee na hayo maligi mama. Nadhani utaacha
 
Umesahau umeanza kuniquote na povu juuu hahahaha,ndo hivyo ukinikurupukia nakufurumusha tu za uso bila chenga. Mteja wangu kwa zari kama umebakiza povu endelea kumwaga nikasafishie choon bana. Safi kabisa usisahau ni balozi wa pampaz piaaaa
Basi pole kwano mi nawe lini hatukotiani jamani basi sema kama hutaki,sasa utabishana na nanii

Hivi bibie upo yanga au simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba jibu hapa
 
[emoji13] [emoji13] kuquotiana si tatizo tatizo povu jingi mtoalo mpaka nawaonea huruma.. Hapa ni zarina,sports kuna jukwaa lake mbona nafahamika sana huko kaangalie nyuzi za hizo timu utafahamu tu
Basi pole kwano mi nawe lini hatukotiani jamani basi sema kama hutaki,sasa utabishana na nanii

Hivi bibie upo yanga au simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naomba jibu hapa
 
Tuliroga ukatoka kwa nyani ngabu bado tunasololea uje kwetu nasi tuonje utamu! Kabla ya kuuonja tunashangaa unaanzisha ugomvi na akina Numbisa na warumi hii ni hatari unaweza kudead kabla hatujafaidi utamu wako! Subiri tuuonje ndipo uendelee na hayo maligi mama. Nadhani utaacha
Hahahahah huyo juu tulisagana tu ,kwani kumbe ni ugomvi na numbisa na warumi hakuna ugomvi hapa labda unauleta wewe ,we soma umbea tu hapa uburudike huwezi nendaa politics palace,we ukionja unakufa na kufa juu jitahidi uonje au uonjwe pia
 
Heheheee unanipa picha kumbeee ndo huyu aisee
Tuliroga ukatoka kwa nyani ngabu bado tunasololea uje kwetu nasi tuonje utamu! Kabla ya kuuonja tunashangaa unaanzisha ugomvi na akina Numbisa na warumi hii ni hatari unaweza kudead kabla hatujafaidi utamu wako! Subiri tuuonje ndipo uendelee na hayo maligi mama. Nadhani utaacha
 
[emoji13] [emoji13] kuquotiana si tatizo tatizo povu jingi mtoalo mpaka nawaonea huruma.. Hapa ni zarina,sports kuna jukwaa lake mbona nafahamika sana huko kaangalie nyuzi za hizo timu utafahamu tu
We yanga tu nishajua Numbi hapa hata usibishee jina la simba hutaki hata kulisikia
 
Back
Top Bottom