Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Zari mwanaume haachwi; Ulicheza faulo

Leo utataja yoooteee,mie ndo numby bana
Numbisaaa ndio hivyo mtu akimwaga mboga na ugali unamwaga aliesema malipo hapa hapa unadhan alikosea
Halaf hakuna unaemtetemesha wewe usijioverate mpenzi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ulikua hujui shoga angu!!!ndo yalivyo hayooo!!!!hayaishi hapooo!!!

Leo ntajua binamu mpk chupi yako uliyovaa siku ileeee!! Na yote ya kwako ya humu!!

Binamu ukiachwa achika....Panick at ur own risk!!!!!

Poleeee
Kumbeee alaaa sasa nilivyo na kiburi nisemwe mimi nitingishike roho yangu jabali hakuna wa kunitikisa huu mimi halaf sinaga cha kupoteza sasa si wanijua binam toka kitambo

Daimod ashasema ,binam baadae pm ili akajisomee vizurii
 
tehteh binafsi Namkubali sana Zari vile tu ndugu yetu nae machachari sana.. Ile lifestyle yake fulani dahhh afu dizaini kama hamaindi kiviile sema midomo ya wa tz ndo nuksi




cc Smart911
ndio maana nikakuita ..haya karibu kikaongoni...naona Numby raynavero na mama sabri wanamwagaiana povu.tu "" mimi nimekaa nasubiri kuona povu litakalo nifaa nikufulie ovaroli langu la garage
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] leo ni leo khe khe kheee chezea jina la zari
 
ndio maana nikakuita ..haya karibu kikaongoni...naona Numby na mama sabri wanamwagaiana povu.tu "" mimi nimekaa nasubiri kuona povu litakalo nifaa nikufulie ovaroli langu la garage
Unatuchonganishaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom