Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

Zari na Diamond kuja na reality show yao on Netflix

Umewataja wasanii 5 ukaongezea kusema na wengine wengi! Narudia tena ni 8 tuu waliopostiwa .
Kwani wengi huwa wanaanzia na wangapi? Nenda kajifunze umoja na wingi kwanza 😉 halafu mimi nimetaja wanne ukijumlisha na zari na diamond wanakuwa sita. Hee kajifunze na kujumlisha pia 😏
 
There’s nothing real about these so called ‘reality’ shows. They’re all scripted.

Hardly anyone can be real when there’s a whole bunch of cameras following you around.

Nevertheless, I can’t knock their hustle.

Let them get that bag [emoji383].
I hear' you my G, https://jamii.app/JFUserGuide reality shows they're bunch of well scripted shows.
 
She said sassy, classy, and a boss lady. Ukikutana na mwanamama anatumia haya maneno kuji-describe, kaa rada bro.
 
Ni documentary bhana binamu, wapo na wasanii wengine pia, ila kwa hapa Domokaya na Zari watapiga sana pesa.
Pongezi kwao.
 
Sijaiona ila nasikia Diamond kaulizwa umri kajibu I’m 31st huko haha afu yeye tu wamemuwekea subtitles dah
 
Sijaiona ila nasikia Diamond kaulizwa umri kajibu I’m 31st huko haha afu yeye tu wamemuwekea subtitles dah
yeye peke yake ana english mbovu kuliko wasanio wote--
"" am a player so its all abouri the vibe and ze thing i like is gerring them well happy"

""i treat my woman as my wife""


bro wtf!....This guy should go to school he talks bullshit
 
Back
Top Bottom