Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewataja wasanii 5 ukaongezea kusema na wengine wengi! Narudia tena ni 8 tuu waliopostiwa .Kwani mi nimetaja zaidi ya hao nane unaosema 😂😂
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Ngoja team Rich forever waje aka haters
Kwani wengi huwa wanaanzia na wangapi? Nenda kajifunze umoja na wingi kwanza 😉 halafu mimi nimetaja wanne ukijumlisha na zari na diamond wanakuwa sita. Hee kajifunze na kujumlisha pia 😏Umewataja wasanii 5 ukaongezea kusema na wengine wengi! Narudia tena ni 8 tuu waliopostiwa .
Hao waliowengi amewasahau tena kwamba aliwataja.Umewataja wasanii 5 ukaongezea kusema na wengine wengi! Narudia tena ni 8 tuu waliopostiwa .
Bora useme wewe, maana anajisahaulisha!Hao waliowengi amewasahau tena kwamba aliwataja.
Saaaaaawa.Documentary hiyo na hawako wenyewe tu..
I hear' you my G, https://jamii.app/JFUserGuide reality shows they're bunch of well scripted shows.There’s nothing real about these so called ‘reality’ shows. They’re all scripted.
Hardly anyone can be real when there’s a whole bunch of cameras following you around.
Nevertheless, I can’t knock their hustle.
Let them get that bag [emoji383].
I hear' you my G, JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala reality shows they're bunch of well scripted shows.
Mmeshamaliza kusaini petition?What will be special from this show?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mmeshamaliza kusaini petition?
Hahahah, word!Finally they gave us a reason to cancel our subscription [emoji23][emoji23][emoji23]
yeye peke yake ana english mbovu kuliko wasanio wote--Sijaiona ila nasikia Diamond kaulizwa umri kajibu I’m 31st huko haha afu yeye tu wamemuwekea subtitles dah