Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Kujadili maisha binafsi haizuiliki kwakuwa wao ni big Celebrities...
Tatizo kwa kila utachowaongelea Utawaongelea katika perspective ipi?? maana chuki iktangulia ndio tatizo linapoanza...
Hata katika maisha hayo kuna vya kujadili na visivyo jadiliwa.
Kweli tuanze kuongelea account za watoto? Huu ni upuuzi.