Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Ngoja niwaeleze wanaojitoa ufahamu kwa makusudi ni hivi,kama wewe haumpendi DIAMOND hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu ila kilichopo kwa sasa DIAMOND ni msanii anayetambulika karibia Africa nzima. Kutokumpenda kwako haijazuia DIAMOND kuwa wa kimataifa umependa haujapenda ndo ishakuwa hivo na huyo unayempenda wewe zitamsaidia bidii zake.
 
Kila napoona ujinga kama huu ndio nazidi kujuta ilikuwaje wazazi wakaishi nchi ya wajinga kama mtoa mada hii, mpaka nimezaliwa nchi hii, sioni fahari kabisa kuzaliwa nchi kama hii
 
Mtoto wa Diamond priness tiffah amabaye Ana siku moja toka aje duniani ame mburuza na kumgaragaza mtoto wa pili wa Kiba, Kiba jr kwa idadi ya followers Instagram ikumbukwe Princess Tiffah account yake ya Insta gram siku moja wakati ya kiba Jr ina 76 weeks.

Akili za kingese kweli hiz!
Na wa dadako kule sitimbi wakoje! !
Konyo kweli wewe! !
 
Kila napoona ujinga kama huu ndio nazidi kujuta ilikuwaje wazazi wakaishi nchi ya wajinga kama mtoa mada hii, mpaka nimezaliwa nchi hii, sioni fahari kabisa kuzaliwa nchi kama hii

Una ruhusiwa kuhama nchi
 
Tanzanian's where have you been bewitched? Feeling sorry for your nation generation.
 
jamaa leo kaingia chakike, hana budi kuchuchumaa!!!!!!!!!!!
 
Mijitu inayoishi kwa shemeji zao sio ngumu sana kuitambua.
 
Tupa kule baada ya kuongelea nchi inakwenda wapi tuongea acc ya mtt cjui imefanyaje Amka 😡
 
halafu we kedrick akili zako zipo kama bablish ya gomba vile
 
sasa kwani si hata kiba kazidiwa followers na domo sasa unashangaa nini
 
Back
Top Bottom