samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,965
Ngoja niwaeleze wanaojitoa ufahamu kwa makusudi ni hivi,kama wewe haumpendi DIAMOND hayo ni matatizo yako sisi hayatuhusu ila kilichopo kwa sasa DIAMOND ni msanii anayetambulika karibia Africa nzima. Kutokumpenda kwako haijazuia DIAMOND kuwa wa kimataifa umependa haujapenda ndo ishakuwa hivo na huyo unayempenda wewe zitamsaidia bidii zake.