Kujadili maisha binafsi haizuiliki kwakuwa wao ni big Celebrities...
Tatizo kwa kila utachowaongelea Utawaongelea katika perspective ipi?? maana chuki iktangulia ndio tatizo linapoanza...
Mbona nimesikiliza bbc mwanzo,mwisho hakuna kitu kama hiyo??? Au bbc ya wapi wewe umesikiliza???
Sio bbc ninayoifahamu
Ameenda nje London kupumzikaNasikia Lipumba baada ya kujiuzulu ameondoka nchini,ameelekea nchi gani vile?
Wewe Bavicha bila CCM usingepata huu uhuru...Pumba kabisa hizi... Akili za CCM hizi
Ila hamna cha ajabu ni habari kama habari nyingine tu tena fbBbc iyo hapo hadi kwny ac yao fb wameweka
Why are u so mad:what: n hongera kwa kujaza mb nyingi kichwani kwako mie na brain kichwani sina mb ndo tofauti yetu iliopo 😎
Ila hamna cha ajabu ni habari kama habari nyingine tu tena fb
wewe mpuuzi tu, haujishtukii??
Ndo mana utafiti ulionyesha Watanzania IQ zao ni zero kabisa sio kila kitu ushabiki vingine ni ujinga kabisa usio na kichwa wala miguu sasa followers wengi ndo kuwa na pumzi zaidi au. So shame shame grow up
Nitokwe povu kwa lipi vtu vingine unajisogeza tu huna mshipa wa aibu aisee next time think before uttering anythingMbona unatokwa n povu why are you so mad
Acha ujinga watu tunatafakari vitu vya maana kwa taifa ww unaleta upuuzi humu....
Ndio lakini nothing new zilipendwaN kwny kipindi morning wametangaza