Nitokwe povu kwa lipi vtu vingine unajisogeza tu huna mshipa wa aibu aisee next time think before uttering anything
Pumba kabisa hizi... Akili za CCM hizi
Ndio lakini nothing new zilipendwa
Kwani Mimi nimesema sio ya celeb naona umeingiza na ukawa na ccm mana hapa ni vtu viwili tofauti. Ya ukawa na ccm nenda jukwaa husikaN habari ya ma celeb sioni tatizo au unataka kila mtu andike mambo ya ccm n ukawa
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.
Ndio kwani na Mimi nimekwambia sio taarifa kama nyingine?Ndio nami nimeipost km taarifa tu
Ndio kwani na Mimi nimekwambia sio taarifa kama nyingine?
N we n mjinga Sana Ku quote post ya mpuuzi
Mtoto kazaliwa jana tayari ameshajulikana dunia nzima je wew uliezaliwa 1975 na upo humu hata baadhi ya majirani hawakufahamu so sad!
Kwani Mimi nimesema sio ya celeb naona umeingiza na ukawa na ccm mana hapa ni vtu viwili tofauti. Ya ukawa na ccm nenda jukwaa husika
Hisia zako tu hizoEeeh mbona mkali ivyo😕
Nilidhani ni mpuuzi! nashukuru umethibitisha hilo
Huu upuuzi tunajaribu kuupotezea lakini kumbe bado kuna MAPOPOMA yanayotaka ushindani usiokua na maana.
Mbona sie jana tumekua waungwana kwenye ujio wa kichanga cha Diamond? Tubadilike, ningependa ushindani ubakie katika kazi zao tu (Kiba vs Diamond).
Haya mambo ya maisha binafsi tuyaache tu maana ndiyo yanayojenga chuki zisizo na maana.
Kwani nimekwambia sijui maana ya jukwaa naona Leo unajifanya kichwa ngumu iwe ya watoto sijui vidudu gani ni habari tu ya kawaida kama nyingine. Nothing new and that's mark the end of my discussion with you. Get a life dudeSasa kumbe unajua n ma celeb unashangaa nn sasa mie kuweka habari za watoto zao
Kwani nimekwambia sijui maana ya jukwaa naona Leo unajifanya kichwa ngumu iwe ya watoto sijui vidudu gani ni habari tu ya kawaida kama nyingine. Nothing new and that's mark the end of my discussion with you. Get a life dude
Mtoto wa Diamond priness tiffah amabaye Ana siku moja toka aje duniani ame mburuza na kumgaragaza mtoto wa pili wa Kiba, Kiba jr kwa idadi ya followers Instagram ikumbukwe Princess Tiffah account yake ya Insta gram siku moja wakati ya kiba Jr ina 76 weeks.