Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

pwilo upo king kiba anatoa lini wimbo mpya

jamaa kaumbuka peny na jokate walishasemaga daimond hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba we unadhani kuna demu atakata kuzaa na daimond wema mwenyewe kahangaika sana ili azae nae hajawahi hata kusingiziwa mtoto hata mmoja kasikilize "nikifa kesho " utanielewa vizuri
 
Last edited by a moderator:

Mtoto sio huyo kuna kampuni mbili ukiachana n ile ya nguo za kumvalisha mtoto na wanataka kutoa milioni 50 kuna kampuni mbili zinapigania rights ya kuonyesha picha za mtoto deal mezani imewelwa milioni 100
 
ni yupi sasa? jamaa kasingiziwa
 
Kama una experience na watoto wachanga,utagundua huyo mtoto ulo muweka kwenye hiyo picha ana karibia one wiki wakati mtoto wa chibu ana siku moja tu ha ha ha kuna mengi ya kujadili kuelekea oktoba 25.
 
jamaa anaiga kanye na kim wale wanaingiza mpunga mrefu sana
 
Wawap wew???Wenzio wanajadili jambo la muhimu(mtoto wa Diamond)we unataka kuwatoa nje ya mada

Kumjadil mtt wa diamond nd jambo la umuhim?labda kwako coz mi naona ni umbea tu
 
Kama una experience na watoto wachanga,utagundua huyo mtoto ulo muweka kwenye hiyo picha ana karibia one wiki wakati mtoto wa chibu ana siku moja tu ha ha ha kuna mengi ya kujadili kuelekea oktoba 25.
siku moja haha alikua hawajataka kumuonyesha ila ukweli ndo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…