Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Nimekasirishwa na prof. Kuachia ngazi hadi basi anapunguza nguvu za ukawa

Kwa hali ilivyo sasa, na watanzania walivyoamka hajapunguza chochote, zaidi amezidi kuongeza nguvu na kufanya watanzania waanze kufuatilia kwa karibu sana michakato inavyoendelea na kadri watanzania wanavyofuatilia kwa karibu ndivyo CCM inavyozidi kupoteza mvuto siku hadi siku.
 
Siasa katika celeb forum acheni u kanyaboya
 
hah hah hah hah jf bana watu washatibua uzi wa mwenzao kweli kuna kipindi habari flan hazina mashiko kwa jamii
 
Jamani nendeni kwenye majukwaa ya siasa sio hapa hamjaitwa ...stress zenu za siasa na akina lipumba ...kwanza mjue hayo ndo magoli ya mkono ya ccm ...mfyuuz
 
Hahaahahhaha thread imevurugwa balaaa. Siasa na celebrity wapi na wapi.

Mtoa mada pole mkuu watu wanaonekana unawaboa.
 
hii ni sawa na jukwaa la katuni watu wanacomment xxx
 

wazoee tu mkuu
 
Kwanza una uhakika mtoto ni wake?

hatuna uhakika kama mtoto ni wake kama ambavyo tusivyokuwa na uhakika na wewe huyo unayemuitaga baba ndio aliyetoa mbegu iliyotunga mimba yako. naona mmeshikia sana bango hili swala, anza kuwaza wewe kwanza huyo umuitaye baba ni kweli baba yako??? jibu ni kwamba huna uhakika.
 
Tiffany Dangote mtoto wa Diamond anaonekana Ana kubalika kuliko kuliko lowassa katika mtandao wa Instagram kwa kupata followers wengi ndani ya siku mbili tu as u know numbers do not lair.
 

Attachments

  • Screenshot_2015-08-07-15-29-31.png
    29.3 KB · Views: 421
  • Screenshot_2015-08-07-15-34-43.png
    44 KB · Views: 416
duu! ni mwendo wa kunyooka tu..thamani ya diamond inakua cku hadi cku...Mungu amkuzie tifa tifa.
 
kila napoona ujinga kama huu ndio nazidi kujuta ilikuwaje wazazi wakaishi nchi ya wajinga kama mtoa mada hii, mpaka nimezaliwa nchi hii, sioni fahari kabisa kuzaliwa nchi kama hii
wewe ndio mjinga wa kupindukia una wivu wa kishenzi hii ni media ya watu wote usolipenda kaa kimya wapo wanaopenda usilazimishe kila mtu kuwa na hobby kama za kwako swine
 
wewe ndio mjinga wa kupindukia una wivu wa kishenzi hii ni media ya watu wote usolipenda kaa kimya wapo wanaopenda usilazimishe kila mtu kuwa na hobby kama za kwako swine
Mkuu achana nae huyo kavurugwa tu akimbie nchi basi tujue moja au tumpe malimao ale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…