NO HARD FEELINGS
Baada ya kunyanyasa game ya social media kwa almost 20 years,the self proclaimed king of all bongo social media,kapata mpinzani wa hali ya juu,ambaye anaonekana hana mpango wa kupunguza kabisa spidi,Latiffa Abdul Naseeb.
Moja ya changamoto atakayoipata Le Mutuz,ni kuhusu suala la IG followers,Le Mutuz katika IG amehangaika sana kufikisha followers 100k,akitumia mbinu mbalimbali,kama kuishi fake lifestyle akijidai ni under 18,akipost picha za mabebezz super mtindizz wakati ni mzee wa miaka 56,yaani yeye na LOwassa tofauti yao ni miaka 6 tu,wakati mtoto wa siku 2 katumia siku moja kufikisha followers 50k.
Suala lingine ambalo binti mdogo Latiffa ameonesha yeye ni queen kwenye hii game ya social media ni baada ya kupata endorsement ya milioni 50 kutoka maduka ya BABY SHOP wakati Le Mutuz akiendelea kupewa simu za huawei Y330 kutoka tigo kama pongezi ya mchango wake kwenye social media.
Inabidi Le Mutuzz ajipange sana linapokuja suala la kuwa king maana usipoangalia utakuwa queen katika hii dunia iliyojaa surprises za kila namna kama hii iliyotokea siku hizi mbili na suala lingine inabidi upunguze kublock watu wanaokupinga ili husikose hata hawa wachache ulionao,maana unablock sana watu wanaopinga uelewa wako.