asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Hongera Diamond & Zari.
kuna mwenye picha inayoonesha picha ya huyo Tifah?
kuna mwenye picha inayoonesha picha ya huyo Tifah?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera kwao,ngoja namie nitafute wangu lol
Mimi nafanya booking kabisa usiende mbali swahiba.
Hongera kwao,ngoja namie nitafute wangu lol
Hatimaye staa wa bongo Nassibu Abdul (Diamond) awa baba baada ya mchumba wake Zari kujifungua mtoto wa kike asubuhi hii.
====
View attachment 273932
View attachment 273928View attachment 273929
View attachment 273931
====
Na picha 4 za mtoto nimerushiwa na mfanya kazi wa hapo agakhan mwenye buku ten
Ha haa tutakaa kamati kwahilo
nipo nimefurahi sana leo naishi instagram, umenikumbusha enzi za nyuzi za kujibishana na wagumu ila watanyooka tu....itabidi nianzishe somo la kuhesabu siku za kutegemea watoto kutokana na makutano ya kwanza...
leo ni furaha sana
ila duniani watu wivu hadi wanatukana mtoto, Mungu atawajibu hapa hapa duniani. wanatia kichefuchefu
Hivi haukupataga tena?
Bado sijapata,mwezi ujao nitapata lakini