Dah...kuna baadhi ya watu waliocomment kwenye hii thread wanajikuta ndo wana akili nyiiingi kuliko mleta uzi,na wakati kumbe wao ndo wana akili ndoogo kbs kwa kushindwa kujiuliza maswali madogo sna ambyo hayaitaji ata akili kubwa kufikiria
1-kwanini aliyecreate jamiiforums aliamua kuweka majukwaa tofauti tofauti kwa ajili ya mada mahususi?
2-je mleta uzi kaleta uzi kwenye jukwaa gani?
3-jee mleta uzi kaleta uzi kwenye jukwaa sahihi au la?
4-jee uliyekuja kusoma huu uzi baada ya kusoma title yake ulilazimishwa kuusoma na kucomment?
Ukishajiuliza haya maswali.madogo kabisa jipe majibu mwenyw..kisha tafakari nafasi yko na mleta mada,hlf jiulize nani poyoyo/tozobi kati ya weye unayeleta siasa kwenye jukwaa la macelebrities na mleta mada aliyeleta mada ya celebrities kwenye jukwaa la celebrities?