Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Hakuna mtoto wa uzinzi. Ndoa ni mipango ya mtu huwezi kuoa kama nafsi yake haijakubali Ila mtoto anakuja kwa mapenzi ya mungu no matter amekuja kipindi gani. So far hizi dini na historia ya afrika ni mambo mawili tofauti sana.

Mzinzi bwana, anapaka rangi, haya hakuna mtoto wa uzinzi
 
Princess Tiffah ndo habari ya Africa 1438874877903.jpg1438874917101.jpg
 
mtoto wa taifa huyo kazaliwa leo ni kama chrismas inabidi siku kama hii iadhimishwe kila mwaka na iwe ni sikukuu ya kitaifa

#mtanyooka tu
 
Namuombea afanane na mama yake aweze pata soko la matangazo hayo mnayosema ila akifanana na baba hapo majangaa hakuna mfanyabiashara atayepoteza kwa hilo kutangaziwa biashara yake kwani matangazo yanavutia zaidi na mwonekano
 
Congrats sana mingi mingi wazazi

Nakumbuka mzurimie katika kutetea maneno ya watu juu ya Diamond huyo sio mwanae aliwekaga mahesabu na makadirio ya tangu walipokutana na kuhesabia kuwa mtoto atazaliwa tarehe 8 August 2015 na imetimia alisema kuna +2 and -2 weeks kwa due dates za wamama. So ni siku 2 kweli mdada huyu ni shabiki wa kweliiiii, big up.

nipo nimefurahi sana leo naishi instagram, umenikumbusha enzi za nyuzi za kujibishana na wagumu ila watanyooka tu....itabidi nianzishe somo la kuhesabu siku za kutegemea watoto kutokana na makutano ya kwanza...

leo ni furaha sana

ila duniani watu wivu hadi wanatukana mtoto, Mungu atawajibu hapa hapa duniani. wanatia kichefuchefu
 
Hongera Mondy, hofu yangu ni huenda utamuambukiza mtoto mambo ya ushirikina na waganga, pia nina wasiwasi na campan yako ya wakina Tale hawakawii kumfunga irizi mtoto
 
Back
Top Bottom