Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

Zari na Diamond wapata mtoto wa kike (Latiffah Naseeb Abdul)

There we go agaiiiin....!
Tutaumwa vichwa bureee domo la mtoto litakapoanza kukua ndo tutaumbuka.
 
There we go agaiiiin....!
Tutaumwa vichwa bureee domo la mtoto litakapoanza kukua ndo tutaumbuka.

zarii8899.jpg

Mtoto wa kwanza wa zari na lawrence.

diamond-na-Tiffah.jpg

#Mbambikizwaji
 
Hapo wazazi wa mtoto wamekaa wanawachora tu kweli nimeamini huyu baby ni mtoto wa taifa kama platnumz alivyotabiri hii ni kwa jinsi anavyojadiliwa na watu wazima.

Swali hivi huwa mnakagua watoto wenu kwa undani huu pindi wake zenu wanapojifungua? Kama ni hivyo kusingekua na kubambikiana watoto huko kitaani
 
Uzuri hata Domo anajua sio wa kwake ila ameuchuna tu kuficha aibu. Si unajua tena
Wema tulishindwa kulenga
Penny tulishindwa kulenga
Jokate tulishindwa kulenga
Nani wa pale tulishindwa kulenga
Na yule wa kule tulishindwa kulenga

Hahahaha Kitanda hakizai haram
 
Ganda la kitabu halisadifu yaliyomo...kumfunika mtoto wa kiba kivipi?...funguka upewe data lakin wakati huo uwe unajua kwamba watu hawa ni tofauti kuna mmoja mkimya na asiyependa watu wajue mambo yake na mwingine msema hovyo na kupenda kuandikwa magazetini...ukishajua hayo ndo uongee sasa sawa eeeeh....
 
Hivi kufuatilia maisha binafsi ya watu ni kukosa kazi? au wivu uliopitiliza?
 
Jaman tushindie hilo hilo wakat ya nchi yetu yanatushinde hivyo vitu Labda insta 😖
 
This is sad kuona watu hamtumii akili mtoto pichani ana nguo za rangi gani? Na aliyezaliwa ni wa kike.

Subirini picha, huu wivu wenu umezidi. Omg hadi haya give dem kiki ila msijekumbwa na mafaini tu. Mmmh
 
Hahaha! nimecheka sana kwenye huu uzi! kuna watu wakuwaonea huruma humu ndani
 
Back
Top Bottom