Magazeti ya shigongo ndiyo yalisema habar zakuichomoa kutoka katika chanzo chao chakuaminika we uliamini?Mbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
Yaani na wewe uliamini kabisa kwamba Diamond alitaka mimba itolewe?!Mbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
Sasa kama hela ipo na mwanamke mwenye umri umeenda wafanyajeAkili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.