Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

R.B

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
6,296
Reaction score
2,575
boss.jpg

Good news kwa Diamond platnumz na mpenzi wake Zari wamezichukua Headlines leo June 23 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuhusu kuwa wawili hao kutarajia kupata mtoto wa pili baada ya mtoto wao wa kwanza Tiffah.

mondy.jpg

Nimekuwekea video hii hapa chini Mtu wangu…
 
Mbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
 
Magazeti ya shigongo ndiyo yalisema habar zakuichomoa kutoka katika chanzo chao chakuaminika we uliamini?
 
Mbona tulisikia kuwa Mondi kadata na alikuwa anataka bibie aichomoe? Pongezi kwa boss lady kwa kuwa mwanamke imara ili kulinda uhai wa kiumbe kisicho na hatia!
Yaani na wewe uliamini kabisa kwamba Diamond alitaka mimba itolewe?!
 
Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
 
Sasa kama hela ipo na mwanamke mwenye umri umeenda wafanyaje
 
Back
Top Bottom