Mimi ndo namuomba mungu nisijepata mtoto kabla ya ndoa .. [emoji120]Kwa taratibu za kiislamu.hao watoto chibu hana chake,na ni watoto wa zinaa,
sijui ni kwa nini wasanii wetu wanapenda kupata watoto wa zinaa? Lawama zote inabidi apelekewe mama diamond na washauri wa karibu wa diamond.
Hamna mtt haramu?mungu anasema usiharamishe alichohalalisha yeye na usihalalishe alichoharamisha!'Watoto haramu'
Mwisho wa kunukuu
Teh Teh akanana beautifulonyinye kwa ushauri zaidi muone mtani atoto!. ..Mimi ndo namuomba mungu nisijepata mtoto kabla ya ndoa .. [emoji120]
Wewe yani iwe ya babu yake BADILI TABIA....Teh Teh...you know nafwaaaz kwa kicheko.Utasikia wanasema anatafuta kiki Tu mimba sio yake wala nini. Ni ya muheshimiwa Le Mutuz. We ngoja Tu!
[emoji86] [emoji86] ushauri juu ya nn mkuuTeh Teh akanana beautifulonyinye kwa ushauri zaidi muone mtani atoto!. ..
Hakuna mtoto haramu ila kuna mtoto wa HARAMU, mtoto aliyepatikana kwa uzinifuHamna mtt haramu?mungu anasema usiharamishe alichohalalisha yeye na usihalalishe alichoharamisha!
Hao unawaona wa haramu wanaweza kuwa na thamani kubwa kwa mungu kuliko ww.
Afu nenda kaulize kwenu vizur uskute hata mtt w kando
Teh Teh[emoji86] [emoji86] ushauri juu ya nn mkuu
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh Teh
Kuna zawadi yako atakupatia akanana!
Hamna mtt haramu?mungu anasema usiharamishe alichohalalisha yeye na usihalalishe alichoharamisha!
Hao unawaona wa haramu wanaweza kuwa na thamani kubwa kwa mungu kuliko ww.
Afu nenda kaulize kwenu vizur uskute hata mtt w kando
Tiffa hata besdei ya one year bado,lohh wamepania au wamepanic...hawatumii uzazi wa mpango?Hapo sasa w atakuwa Wamembemenda Tiffah, Hivi kafikisha hata miaka miwili?
Limit ya uzazi wa Tanzania ni mpishano wa angalau miaka mitatu, Chibu unakimbilia wapi mkuu..!! Au unataka kupangua kejeli za kina Mama Ubaya?
BACK TANGANYIKA
'provide' is a relative term,na malezi hadi mtoto ajitegemee si mchezooSioni tatizo la kuwa na watoto as long as you can provide for them.
Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.
Kwa taratibu za kiislamu.hao watoto chibu hana chake,na ni watoto wa zinaa,
sijui ni kwa nini wasanii wetu wanapenda kupata watoto wa zinaa? Lawama zote inabidi apelekewe mama diamond na washauri wa karibu wa diamond.
Itakuwa ni Mpemba!Hivi huyu zari ni msukuma? Mbona anazaa sana hivi