Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

Zari na Diamond wategemea kupata mtoto mwingine

Safi sana. Huyu mama bonge la inkubeta, amesaidia kuturudishia heshima hadi huku mtaani sie tuliotengwa kisa eti tunatoa upepo....

Kudos kwa Wahenga, imedhihirika ng'ombe hazeeki maini.

Zaa mama Zaa, Zari Zaa. ...I wish ingeruhusiwa ukimaliza na mshkaji usepe na mie nipate kama watatu hivi kwa uchache
 
Kwa taratibu za kiislamu.hao watoto chibu hana chake,na ni watoto wa zinaa,
sijui ni kwa nini wasanii wetu wanapenda kupata watoto wa zinaa? Lawama zote inabidi apelekewe mama diamond na washauri wa karibu wa diamond.
 
'Watoto haramu'

Mwisho wa kunukuu
Hamna mtt haramu?mungu anasema usiharamishe alichohalalisha yeye na usihalalishe alichoharamisha!
Hao unawaona wa haramu wanaweza kuwa na thamani kubwa kwa mungu kuliko ww.
Afu nenda kaulize kwenu vizur uskute hata mtt w kando
 
Hakuna mtoto haramu ila kuna mtoto wa HARAMU, mtoto aliyepatikana kwa uzinifu

Mtoto hahukumiwi kwa makosa ya wazazi
 
Hamna mtt haramu?mungu anasema usiharamishe alichohalalisha yeye na usihalalishe alichoharamisha!
Hao unawaona wa haramu wanaweza kuwa na thamani kubwa kwa mungu kuliko ww.
Afu nenda kaulize kwenu vizur uskute hata mtt w kando

Swadakta!!

Tendo ndio la haramu.
 
Hapo sasa w atakuwa Wamembemenda Tiffah, Hivi kafikisha hata miaka miwili?

Limit ya uzazi wa Tanzania ni mpishano wa angalau miaka mitatu, Chibu unakimbilia wapi mkuu..!! Au unataka kupangua kejeli za kina Mama Ubaya?

BACK TANGANYIKA
Tiffa hata besdei ya one year bado,lohh wamepania au wamepanic...hawatumii uzazi wa mpango?
 
Akili za kiafrika akipata hela kidogo tu yeye anawaza kuzaliana.
Zali katoto bado hata hakaja komaa vizuri tayari amepewa mimba nyingine.
Inamaana yeye hata uzazi wa mpango haujui inamaana kila mwaka atakuwa anazaa tu.

Mwafrica na tamaduni za kiafrica halisi.
 
Yani hicho ndo kizazi og.sio kile cha kugust na madawa kibao.
 
Kwa taratibu za kiislamu.hao watoto chibu hana chake,na ni watoto wa zinaa,
sijui ni kwa nini wasanii wetu wanapenda kupata watoto wa zinaa? Lawama zote inabidi apelekewe mama diamond na washauri wa karibu wa diamond.

Hata RIZ ONE ni haramu?? lakini ndio mzee kampenda!!!
 
Back
Top Bottom