Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Mange amesema Zari anagombea mali za mme wake wa zamaniNaona mnawafuatilia kweli kweli!
Halafu wewe Sky Eclat si ulituaga unaondoka mbona tunakuona humu jukwaani uki like na kuchangia mijadala?
Mange amesema Zari anagombea mali za mme wake wa zamani
Aah weuwee me mtanzania orijino
Ila tu mzururaji hodari wa instagram
Oh wow!
Kumbe Mange keshasema?
Basi tena hatuna namna...tukubali tu!
😀
umejuaje kuwa wanawafuatilia???Naona mnawafuatilia kweli kweli!
kuondoka mchezo???Halafu wewe Sky Eclat si ulituaga unaondoka mbona tunakuona humu jukwaani uki like na kuchangia mijadala?
umejuaje kuwa wanawafuatilia???
Zari shenzi sanaZari na familia yake wamewasili alasiri ya leo nchini uganda pamoja na mwili wa Ivan,Tayari kwa mazishi siku ya jumanne
View attachment 515727 View attachment 515729 View attachment 515731 View attachment 515732
Rest In Peace Ivan
Zari fuckin sana,namsikitikia mondi kuwa ns hili shangingiHamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Wigi ako ww na mbulula wenzakoSababu tunamjali zari Wifi\shem wa Taifa
Pale hakuna mtoto ambaye hajafikisha umri wa kujua uzito wa kufiwaHao watoto bado hawaelewi mkuu.. sana sana utawaonea tu
Lakini kuna jambo gumu sana mbele yao
Mi sitaagaWanaoaga huwa hawaondoki na wanaoondoka huwa hawaagi!
😀
Sasa Tunda kaingiaje humu?Mnawaza mali tu. Kicheko cha moyoni au kilio cha moyoni anayekifahamu mhusika pekee.
Acha kumwangalia kwa chuki hivyo,hajawahi gombania bwana na tunda
Mi sitaaga