habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Kwann tenaHuu msiba umevuruga sana watu inaoneka! RIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann tenaHuu msiba umevuruga sana watu inaoneka! RIP
Zarina Hassan ni jina la kikisto?Alokwambua Ivan Ni mwislamu nani!?hata zari Mwenyewe pia sio mwislamu maybe kama kabadilishwa na mondi majina yasikuchanfanye..
Du mwana wane ushafika na hapaaMungu amlaze mahala pema Kaka Ivan
Na wao si wanazikwa kwenye majeneza au...Si ni mwisilamu mbona jeneza tena
Kwani ni vibaya mkuu?Du mwana wane ushafika na hapaa
Alikuwa na pesa za hatari huyu mtu mfanyabiasharaDu iv jamaa alikuwa ana fanya kaz gan mbona watu wengi hivo
Sio mchezo diamond sijui ameshadata na wale watoto jeHuu msiba umevuruga sana watu inaoneka! RIP
Juna lenyewe la kikristo. Zari ndio muislamuSi ni mwisilamu mbona jeneza tena
Ivan ni ChristianSi ni mwisilamu mbona jeneza tena