Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Hii ni fundisho kwa wanaume tulio mabachela
Ukioa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine jua kitatokea kama kwa Diamond, mke ataenda kumuuguza mzazi mwenzie ataenda kuzika kijijini kwao na atalia kama nini, na vikao vya familia vya mirathi atashiriki, yaani atakuacha umetoa macho hapa jijini kwa mkolomije kama paka miezi 6, mwisho na wewe utajikuta umefata huko kijijini kumsaidia apate urithi [emoji37][emoji37].
Mwisho utasema " bebi tuombe tu, tutapata mgao wetu[emoji23]"
 
Acha uswahili.watu wamezaa watoto 3.
Unafikiri asipoenda watoto wake watamfikiriaje mama yao?
Kuhusu vikao. Vya miradhi lazima zari awepo.kuna mali za watoto wake lazma ajue watoto wamepata nini na yeye azisimamie.
Unafikiri zari anaweza kuwa dhulumu wanae?
 
Zarina Hassan ni jina la kikisto?
Paul pogba ni mkristo?mbona kaonekama makka anahiji kavaa mishuka ya rangi nyeupe anazurura zurura kwenye msikiti wakati wa kula futari
 
Back
Top Bottom