mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
TekeroDu iv jamaa alikuwa ana fanya kaz gan mbona watu wengi hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TekeroDu iv jamaa alikuwa ana fanya kaz gan mbona watu wengi hivo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimerudi kukuchukua na wewe twende wote.
Haya umeshaonekana na wewe.Imekuuma ee subiri yamfike ya kumfika ndo utajua maana ya uchungu wa ukweli au uongo
Yaani wewe ni gwiji LA washirikinaHamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
SawaYaani wewe ni gwiji LA washirikina
Ulishawshi kufiwa?Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Eenh Ndo hivyoSawa
Umbeya mpaka kwenye chupi jaman hance sikukutegemea Mungu anakuonaHamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Acha uswahili.watu wamezaa watoto 3.Hii ni fundisho kwa wanaume tulio mabachela
Ukioa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine jua kitatokea kama kwa Diamond, mke ataenda kumuuguza mzazi mwenzie ataenda kuzika kijijini kwao na atalia kama nini, na vikao vya familia vya mirathi atashiriki, yaani atakuacha umetoa macho hapa jijini kwa mkolomije kama paka miezi 6, mwisho na wewe utajikuta umefata huko kijijini kumsaidia apate urithi [emoji37][emoji37].
Mwisho utasema " bebi tuombe tu, tutapata mgao wetu[emoji23]"
Kiongozi hyo familia sio ya kimasikini kama ww.Daimondi ataweza kusomesha wale watoto wa marehemu? Au ndo atatoka nduki kama Baba Ubaya
Jamaa si muislamuSi ni mwisilamu mbona jeneza tena
Kumbe ni kaka yako..dah poleni kwa kufiwaMungu amlaze mahala pema Kaka Ivan
Speculator (mnajimu)Du iv jamaa alikuwa ana fanya kaz gan mbona watu wengi hivo
Paul pogba ni mkristo?mbona kaonekama makka anahiji kavaa mishuka ya rangi nyeupe anazurura zurura kwenye msikiti wakati wa kula futariZarina Hassan ni jina la kikisto?
Juna..junaa.junaaa.daaah vyeti feki hiviJuna lenyewe la kikristo. Zari ndio muislamu
Chibu kafa?daaah ila huyu jamaa yaani pafyumu lake linanuka kama maembe..sijui nani alimchagulia hiyo harufu..yaani bora nijipake maembeMazishi ya Chibu ndo tutakapomjua Zari vizuri. Hii ya Ivan geresha tu
Tumia akili.hapewi yeye.wanapewa wanae,Zari malaya sana hakuna kupewa hata kijiko