Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Mnawaza mali tu. Kicheko cha moyoni au kilio cha moyoni anayekifahamu mhusika pekee.
Acha kumwangalia kwa chuki hivyo,hajawahi gombania bwana na tunda
Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
 
Aah weuwee me mtanzania orijino

Ila tu mzururaji hodari wa instagram
Nahisi huyu dada Numbisa ni ndugu wa karibu wa either Marehemu au Zari, maana yuko on point kwa updates since Ivan anaumwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Aah weuwee me mtanzania orijino

Ila tu mzururaji hodari wa instagram

Undugu siyo lazima uwe wa damu, kuna link flani nakuona nayo toka umetuhabarisha kuhusu Ivan kuumwa, then msiba na updates zote za nini kinaendelea, you are so concerned.
 
Mnawaza mali tu. Kicheko cha moyoni au kilio cha moyoni anayekifahamu mhusika pekee.
Acha kumwangalia kwa chuki hivyo,hajawahi gombania bwana na tunda
Sasa Tunda kaingiaje humu?

Humu tunamuongelea Zari na watoto wake pamoja na marehemu mumewe ,sasa Tunda kaingiaje ingiaje yaani?
 
Back
Top Bottom