Zari na familia yake wameshawasili Uganda pamoja na mwili wa Ivan

Paul pogba ni mkristo?mbona kaonekama makka anahiji kavaa mishuka ya rangi nyeupe anazurura zurura kwenye msikiti wakati wa kula futari
Nenda you tube kuna clip ya interview yake siyo kubisha kila kitu
 
Mama yangu aliniambia usije kuwa na mwanamke mwenye mtoto(watoto)na mtu mwingine...picha ya Zari akimlilia mume wake itamsumbua mondi maisha yake yote...
 
Zari fuckin sana,namsikitikia mondi kuwa ns hili shangingi
Yaani mtu amezaa naye watoto ww unasema shangingi ? Wema mlisema hivyo hivyo , binafsi sioni kosa la zari kwenye mapenzi kugombana au kutengana ni sehemu ya maisha , hata ivan na zari wangeendelea kuishi pamoja then ivan akafa bado wangesema zari kamuua ivan ili arithi mali
 
huyo dada aliyeongozana na zari wamevaa wote magauni yanafanana ni nan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…