Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda you tube kuna clip ya interview yake siyo kubisha kila kituPaul pogba ni mkristo?mbona kaonekama makka anahiji kavaa mishuka ya rangi nyeupe anazurura zurura kwenye msikiti wakati wa kula futari
Basi tufanye ni mkristo mkuu.Usibabaike na majin mkuu. Paul pogba yuko umra maka huko, Frank libery naye ni muislam pia.
Yaani mtu amezaa naye watoto ww unasema shangingi ? Wema mlisema hivyo hivyo , binafsi sioni kosa la zari kwenye mapenzi kugombana au kutengana ni sehemu ya maisha , hata ivan na zari wangeendelea kuishi pamoja then ivan akafa bado wangesema zari kamuua ivan ili arithi maliZari fuckin sana,namsikitikia mondi kuwa ns hili shangingi
hili neno hili!!!Hamna mwenye majonzi hapo si Zari wala watoto wake ,nimeangalia video kwa makini nimegundua Zari anapigia hesabu mali alizoacha IVAN kilio chake hakitoki moyoni kabisa .
Kaka shkamooMungu awajalie heri wampumzishe Kaka Ivan salama
Mkuu tayar alishakutangulia huyuMungu awajalie heri wampumzishe Kaka Ivan salama
simwoni diamond
umezipata kutoka.bukoba wadauZari na familia yake wamewasili alasiri ya leo nchini uganda pamoja na mwili wa Ivan,Tayari kwa mazishi siku ya jumanne
View attachment 515727 View attachment 515729 View attachment 515731 View attachment 515732
Rest In Peace Ivan
RIP Ivan
Una uhakika?Kakusanya kwa Ivan,
Bado anasubiri kukusanya kwa Diamond in case of anything!
Huyu Mwanamke anajua pa kwenda kurutubisha Mayai yake kweli kweli
Kwqnin mkuuHivi Chibu anajua hata KUSOMA na KUANDIKA?
AiseeeMazishi ya Chibu ndo tutakapomjua Zari vizuri. Hii ya Ivan geresha tu
Hapo ndo kuna maswaliDon kafa kama utani